Sumu ya penzi

Msoleka

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
24
Reaction score
16
Ukitaka mahusiano yako yawahi kuvunjika fanya mambo haya
1. Dharau: dharau ni miongoni mwa sumu kali kabisa ambazo zaweza kuvunja na kuuwa kabisa mahusiano yako na mwenzi wako.

2. Uongo: hii ni sumu ya pili ambayo kwa kiasi kikubwa huchagiza kutodumu kwa mahusiano yako kwani mmoja wenu akiwa na hulka ya urongo hapo hakuna penzi tena.

3. Hii pia ni miongoni mwa sumu kali ambazo huchangia katika kufa kwa mahusiano mengi. Uchafu hupunguza mapenzi, na humfanya mwenzi wako asiwe na hamu na wewe sababu ya uchafu wako.

Kwa leo naishia hapa nitaendelea panapo majaaliwa
 
inaonekana kabla ya kujiunga jf ulikuwa surveyor mzuri wa MMU as a guest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…