Unaweza kufumua migongo yote wanako kaa kisha kata wire mesh zinazowekwa kwenye madirisha .Kata nyembamba nyembamba kunja vizuri zile ncha zinazochoma zitazamishe juu namaanisha kwenye ile migongo uliyotoa mabati na weka bati lako tena yaani ile kofia ya bati hapo popo hawezi ingia tena atachomwa na zile ncha za wire mesh