Sumsung r428 laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumsung r428 laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Puza, Nov 3, 2011.

 1. P

  Puza Senior Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wjameni msaada wenu nauomba,ninatumia sumsung model nloitaja hapo juu ilikuwa na windows xp na nieinstall window 7 ultimate transformer ila nashangaa ghafla nimeiwasha inatoa black screen with no error msg nimejaribu kurepair window lakini tatizo ni lilelile kwani cd inacopy mafail lakini ikimaliza hairestart from hdd inishia kama awali kwenye black screen.Nimejaribu kuchange boot order kwenye bios kwa kuiweka hdd first lakini haijaboot Nikijaribu kurun live ubuntu inakubali,Nifanye nini kutatua hili tatizo.
   
 2. S

  Salvio Mwenda Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamia ubuntu mkuu
   
 3. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hizi transformer maranyingi zinakuwa na utata sana so kama vipi bora utupie tu win7 kama computer yako ina suport vinginevyo install upya tu hiyo XP.pole sana
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama kwenye ubuntu inakula mzigi basi itakuwa ni conflict au kutolewana kati ya VGA card(hdrware) ya laptop na drivers (Sofware. ie winodws 7)

  jaribu ku boot kwenye safe mode uone itakuwaje?

  Vile vile jribu kwenda kwenye Tovuti ya samsung ucheki kama kwenye forum yao kuna watu wamepata tatizo kama hilo. before na wlilitatuaje

  unaweza Pia Kusoma au kucheki manual ya ya hiyo latop online ujue inatumia hadrwae gani za VGA( niViDIA, ATI, ect) na driver zake halisi za windows 7 zinapatikana vipi

  Nb
  But again kama kwenye ubuntu inakula mzingo tatizo ni windows 7 display drivers hazielwani vizuri na vGA card ya samsung yako . jaribu pia kuunganisha hiyo laptop na projector uone
   
 5. P

  Puza Senior Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu naendelea kuufanyia kazi
   
Loading...