Sumsung note 3

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Wanabodi

Simu yangu ya note 3 inashida ya flash kwenye front camera, ukipiga haiwaki,msaada kwa hili.
 
Duh! Mkuu samsung galaxy note 3 haina flash kwenye front camera, Hiyo jaribu kuitazama inaweza kua ni ya kichina.
Mkuu iko safi sio ya kichina,but kama haina fresh.

Thanks
 
Samsung original hana flash kwenye front camera kuanzia note 1 mpaka latest ya sasa hivi note 5.
Sidhani kama wanelewa kuhusu hilo swala..... Samsung hana flash kwenye front camera... Kuanzia Note 1 hadi latest Note 5... Umejibu mkuu sema nasisitiza tuuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…