iphone se 2
Member
- May 25, 2018
- 72
- 60
majungu ya nn tena mkuuBado hajaacha majungu tuu??
sumsung baada ya kutoa sumsung galaxy note 9 huku wakiisifu kwa hali ya juu kuwa ina speed kubwa huku ikiwa na prosesa ya snapragoni 845 lakini haijafua dafu kwa iphone xs max huku iphone xs max ikiwa na speed ya hali ya juu checki hii video
Achana na iPhone X’s mkuu, huko ni mbali sana , hizo simu bado zinapambana na iphone 7 ...
Haters watakuja hapa kusema speed siyo issue !
Hiyo video umeitazama kweli! au umekosea? Naona iko tofauti na madai yako.majungu ya nn tena mkuu
Tofauti ndogo sana ya sekunde sekunde.Note 9 bado ina features nyingi zaidi all in all zote ni nzuri kila moja ina uzuri wake.sumsung baada ya kutoa sumsung galaxy note 9 huku wakiisifu kwa hali ya juu kuwa ina speed kubwa huku ikiwa na prosesa ya snapragoni 845 lakini haijafua dafu kwa iphone xs max huku iphone xs max ikiwa na speed ya hali ya juu checki hii video
Krin ipo vizuri ila kwenye swala la speed hata simu kama infinix zinafanya vizuri niliona speed test ya infinix note 4 vs iphone 6 infinix ilikuwa better hadi kwenye camera.Hizi infinix note 4 na note 4 pro simu nzuri sana.Ngoja tusubiri kirin 980 ya huawei kama itamzidi A12.
Infinix anatumia kirin? Kirin si exclusive kwa Huawei? Zilizopita zina majanga yange ngoja tusubirie hii mpya.Krin ipo vizuri ila kwenye swala la speed hata simu kama infinix zinafanya vizuri niliona speed test ya infinix note 4 vs iphone 6 infinix ilikuwa better hadi kwenye camera.Hizi infinix note 4 na note 4 pro simu nzuri sana.
Upo sahihi chief krin ni ya huawei. Kuhusu infinix nimesema tu baada ya kuona video YouTube ikishindanishwa na iphone 6 kwenye speed na camera na ikashinda kwa kuwa wewe ni mtaalam sijui kwa nini imekuwa hivyo maana hata bei ni tofauti sana lakini ndo nilichoona ni infinix note 4 na iphone 6.Infinix anatumia kirin? Kirin si exclusive kwa Huawei? Zilizopita zina majanga yange ngoja tusubirie hii mpya.
Iphone 6 si ya 2014?kuna kitu gani cha ajabu simu ya 2014 kupitwa na simu ya 2018?Upo sahihi chief krin ni ya huawei. Kuhusu infinix nimesema tu baada ya kuona video YouTube ikishindanishwa na iphone 6 kwenye speed na camera na ikashinda kwa kuwa wewe ni mtaalam sijui kwa nini imekuwa hivyo maana hata bei ni tofauti sana lakini ndo nilichoona ni infinix note 4 na iphone 6.
users wapi mkuu, wanakalia kujifariji na videos za youtube kutetea wasichokijuaHaaaahaaaaa. IPhone users bhana
Huawei wanasema kirin itamzidi sd845 na a12,ngoja tuone.Infinix anatumia kirin? Kirin si exclusive kwa Huawei? Zilizopita zina majanga yange ngoja tusubirie hii mpya.
Ni nzuri tokana na mahitaji ya mtumiaji,heavy users hawawezi tumia infinix na pia hata mediatek wao wenyewe hawawezi kushindana na Qualcom au exynos tokana na wateja wao kuwa na uhitaji wa vifaa vya bei ndogo kwa matumizi makubwa, kuna baadhi ya games hazichezi au kutengenezwa kucheza kwenye chip za mediatek labda ufanye rooting.Krin ipo vizuri ila kwenye swala la speed hata simu kama infinix zinafanya vizuri niliona speed test ya infinix note 4 vs iphone 6 infinix ilikuwa better hadi kwenye camera.Hizi infinix note 4 na note 4 pro simu nzuri sana.
Kirin nyingi kwanza ukaaji chaji wake si mzuri ndio maana flagship za Huawei zina ma battery makubwa.Huawei wanasema kirin itamzidi sd845 na a12,ngoja tuone.
Halau wakajibu hivi(chanzo forbes)Kirin nyingi kwanza ukaaji chaji wake si mzuri ndio maana flagship za Huawei zina ma battery makubwa.
Na sasa hivi zimeondolewa benchmark nyingi sababu wanacheat score. Simu ikirun benchamrk umeme mwingi unaenda kwenye soc ili itoe perfomance kubwa,perfomance ambayo maisha ya kawaida huwezi kuipata. Inafika hadi 8w na zaidi level za ultrabook.
Huawei & Honor's Recent Benchmarking Behaviour: A Cheating Headache
Huawei wanasema kirin itamzidi sd845 na a12,ngoja tuone.