Wadau, naombeni msaada kwa mwenye camera ya Sumsung, nikitaka kurekodi video haichukui sauti, inachukua picha tuu, nimeangalia settings zote sijui ni wapi pameguswa. Msaadaaa mnijuze!!!
Samsung digita camera ziko aina nyingi na zina setings tofauti tofauti,hivyo ni bora uweke na aina na model ya hiyo kamera yako ili uweze kusaidiwa kwa wepesi zaidi.
isitoshe kuna baadhi ya kamera huwa ukirecord ukitaka ku preview ulicho record kwenye camera moja kwa moja hazitoi sauti mpaka labda uchomeke kwenye tv au uhamishe zile video kwny pc ndo zinatoa sauti..mi nnayo ya sony ndo inafanya hivyo!!