Sumsang galaxy kwa bei nafuu

Sumsang galaxy kwa bei nafuu

350,000/= mkuu pia nakusikiliza na ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii biashara itakua ngumu sana kwako, nakushauri kabla hujapanga bei ufanye utafiti kwanza.

Hizo A10 maduka mengi kwa sasa hazizidi 250k, ni laki 2 maximum 250k huko mokoani Wewe unaweka 350k hapa Dar, nikiongeza 50k hapo napata A30 ambayo wewe unauza 600k.

Hii biashara itakua ngumu sana kwako
 
Hayo maduka ya wapi mkuu hizo A series zinatofautiana mfano A20 ni 350,000/= na A20s ni 450,000/= hiyo A10 sawa lakini A10s ni more Advanced ya A10 ndio maana bei zinatofautiana.

Mwezi 10 nimemunulia mchepuko wangu A30 450k na risiti ya efd juu. A20 ilikua 350k maximum, a10s ni 300k hadi 320k.

Wewe bei zako sijui unazipanga kwa kuzingatia nini mkuu, bei ghari sana.
 
A30s
Mkuu hii biashara itakua ngumu sana kwako, nakushauri kabla hujapanga bei ufanye utafiti kwanza.

Hizo A10 maduka mengi kwa sasa hazizidi 250k, ni laki 2 maximum 250k huko mokoani Wewe unaweka 350k hapa Dar, nikiongeza 50k hapo napata A30 ambayo wewe unauza 600k.

Hii biashara itakua ngumu sana kwako
Maduka mengi A10s 365000/= mwisho 350, 000/=,A2core inauzwa 230,000/= mwisho 220,000/= ambazo mi ndio naanzia na naweza kukupunguzia bei mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A30s Maduka mengi A10s 365000/= mwisho 350, 000/=,A2core inauzwa 230,000/= mwisho 220,000/= ambazo mi ndio naanzia na naweza kukupunguzia bei mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hizo ni bei za hapa Dar mkoani lazima bei iwe juu kidogo.
IMG-20200207-WA0010.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom