Sumsang galax note-kuisha kwa charge

Sumsang galax note-kuisha kwa charge

Fighter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Posts
615
Reaction score
153
Wakuu,
api
Naombeni msaada , nakereka sana na hii cm galax note, yaani charge aikai, na mara nyingine nikiwanayo, inanipa message kwamba battery temperature iko juu wakati haiopo kwenye charge.

Nikiiweka kwenye charge inacharge very slow, nimejaribu yafuatayo kujaribu kusave charge lakini wpi!

1.Na clear mara kwa mara apps zinazorun kwenye backgroud, kupitia Task mnager.
2.Nimepungunza brightness.

Pamoja na hayo yote cm yangu aikai na charge, nisaidieni...
 
Funga baadhi ya application zisifanye kazi.. mfano G.P.S na zinginezo zisizo na ulazima kua on mda wote.
 
unajua in short haya ma android charge n mzgo,

Mtakuja kubsha bt ukwel mwaujua, hasa ukiwa unapenda ku chat n blaa
 
Swali..iyo simu ni smartphone???kam ndiyo ndo jibu basi kuisha kwa chaji fasta ni kitu cha kawaida.. Taskman haisaidii maana kuna apps kama whatsapp hta ukiz-iend zinaendelea ku-operate.. Cha kukushauri kama unazo zizuei kwenye list ya autostart..
 
Back
Top Bottom