Sumry SKS bus vimeo.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nimeyashuhudia mara nyingi sana haya mabasi yakiharibika hovyo njiani.Sio siri,haya mabasi i.e sumry na mbeya express yasipoharibika njiani,basi mjue mbeya mtaingia saa 11 mapema.Haya mabasi yana mwendo mkali sana hata akina Happynation hawana ubavu kufukuzana nayo.Kasoro kuu ya haya mabasi ni kuharibika njiani mara kwa mara.SKS buses ni mabasi mazuri lakini hayataki shuruba kama wanavyoyaendesha madereva wa haya mabasi.Madereva wa sumry wana husudu mno kuweka ligi dhidi ya mabasi kama Scania ambayo ni imara.Unapokwenda mkoani mbeya sikushauri utumie mabasi haya kwani hayaaminiki.Ni bora upande happynation,nganga,ndenjela,al saedy,greenstar,hood,sai baba na ottawa.
 
Kawaida sana gari kupata tatizo!!!!. Kama hutaki shida tembea kwa mguu. Ushauri tu!
 
asante kwa taarifa.
Bora kusafiri kwa ungo tu,hauna kuharibika njiani wala kuchimba dawa!
 
Kawaida sana gari kupata tatizo!!!!. Kama hutaki shida tembea kwa mguu. Ushauri tu!
Ni kweli kabisa ni kawaida gari kuharibika lakini sio daily magari ya the same company yanashamiri kwa ubovu barabarani.
 
Nimeyashuhudia mara nyingi sana haya mabasi yakiharibika hovyo njiani.Sio siri,haya mabasi i.e sumry na mbeya express yasipoharibika njiani,basi mjue mbeya mtaingia saa 11 mapema.Haya mabasi yana mwendo mkali sana hata akina Happynation hawana ubavu kufukuzana nayo.Kasoro kuu ya haya mabasi ni kuharibika njiani mara kwa mara.SKS buses ni mabasi mazuri lakini hayataki shuruba kama wanavyoyaendesha madereva wa haya mabasi.Madereva wa sumry wana husudu mno kuweka ligi dhidi ya mabasi kama Scania ambayo ni imara.Unapokwenda mkoani mbeya sikushauri utumie mabasi haya kwani hayaaminiki.Ni bora upande happynation,nganga,ndenjela,al saedy,greenstar,hood,sai baba na ottawa.

al saedy, ndenjela, sai baba + abood kusafiri nayo ni sawa na kujinyonga ukipona sio siku yako.
 
Usinitishe mkuu,mimi nina ticket ya Ndenjela ya kuja Dar kesho from Mbeya,nimeamua kupanda hilo baada ya kuzinguliwa na Sumry SKS siku nakuja Mbeya,ilituweka Makambako kama masaa 3 tukipigwa baridi ya hatari kisa brake zilijam.
 
Sumry wababaishaji wakubwa..hasa safari za Bukoba. Angalizo: Bus Lenye usajili unaoanza na BET, pamoja na BCT (if my memory serves me right on the latter) abiria yakimbieni kama ukoma! Kwanza baadhi ya vioo kwenye bus havifungi. Istoshe viti vina-recline kiholela. Nakumbuka wakati naenda Bukoba abiria wa mbele yangu ali-recline seat yake na hakuweza kuirudisha upright... Yaani safari nzima nilipata taabu sana ukitilia maanan nina urefu wa 6ft!
 
al saedy, ndenjela, sai baba + abood kusafiri nayo ni sawa na kujinyonga ukipona sio siku yako.
Mkuu najaribu ku-imagine ni mabasi gani unayopenda kusafiria,manake ndenjela na sai baba ni miongoni mwa mabasi lazy kabisa barabarani.Hivi wewe ukipanda happynation{voice of manka} si ndo utazima kabisa!
 
mtapiga kelele basi ovyo uzuri bodi tu,kumbe wewe mwenyewe usafiri wako nyumbani kwako boda boda,na hujaifanyia service zaidi ya mwaka na nusu,akipanda rafiki yako na nguo nyeupe lazma akaibadilishe,tujirekebishe!
ni kawaida katika biashara kuingia mkenge,si mara zote utashushiwa msumari ulionyooka,na sifkirii tajiri yoyote angejua kuwa bus ni kicheche angetupa mkwanja wake wa mamilioni hapo!
hata shabiby mwanzo aliposhusha mchina wa kwanza ulikuwa unakufa ovyo,akaleta sharo baro kitu kikawa hewani akashusha you tung mpya full kiyoyozi kitu kikawa hewani kuliko scania,msilalmike saaana kama mmekabwa koo,hamkulazimishwa kupanda!
mpeni mda karibuni mtasikia mziki wake,kuna bus kam 80 hivi anashusha toka china,malaysia kaona mzinguo.
 
sahivi wana yutong ila kuna siri hawaijui kuhusu yutong anayo super feo zitaanza kuwalaza njiani muda si mrefu izo yutong
 
Nakubaliana na mtoa mada hapo juu.
Sumry ni kampuni uliyojizolea umaarufu kwa miaka ya kati kutokana na usafiri wao wa uhakika na wa raha.
Sumry aliingia mkenge baada ya kuingiza hizi nissan dizel sks ambazo kimuonekano na comfortability ni nzuri sana.
Zile gari nyingi zilishindwa safari na kumuingizia hasara.
Ila kiujumla nissan ni bonge la gari na hakuna wa kuifuata ikitulia barabarani.
 
tatizo ni injini kuwa nyuma hivyo cooling system yake inasumbua, hata super feo alikiluwa na youtong yenye injini nyuma ikachemka sasa inapiga route ya mbeya songea, nako omechemka ameipaki tu, anaitumia kwa tharura
 
Sidhani kama injini kuwa nyuma ni chanzo cha matatizo kwa gari.
Labda unipe sababu za kiufundi tofauti na za kimtazamo.
 
Back
Top Bottom