M mgeni wenu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 3,664 Reaction score 1,731 Oct 10, 2012 #1 Haya tena Sumbawanga ipo Wazi kazi kwenu kutoa maoni kampeni na uchaguzi uwe vipi? Nawasilisha
Ndevumbilinyau New Member Joined Oct 11, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Oct 12, 2012 #2 Serikali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki,tumechoshwa na malalamiko kila kukicha na pesa ambazo zingefanya mambo ya maendeleo
Serikali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki,tumechoshwa na malalamiko kila kukicha na pesa ambazo zingefanya mambo ya maendeleo
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 12, 2012 #3 Kampeni impatie ushindi wa kishindo mheshimiwa Norbert Yamsebo, nipo huku Sumbawanga tunahamasisha vijana kwa wazee wamama kwa wabibi kwamba haki inakaribia
Kampeni impatie ushindi wa kishindo mheshimiwa Norbert Yamsebo, nipo huku Sumbawanga tunahamasisha vijana kwa wazee wamama kwa wabibi kwamba haki inakaribia
M Malata Junior JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 3,108 Reaction score 2,553 Oct 13, 2012 #4 ccm wajitoe kuepuka aibu