Sumbawanga ipo wazi

Sumbawanga ipo wazi

mgeni wenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
3,664
Reaction score
1,731
Haya tena Sumbawanga ipo Wazi kazi kwenu kutoa maoni kampeni na uchaguzi uwe vipi?
Nawasilisha
 
Serikali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki,tumechoshwa na malalamiko kila kukicha na pesa ambazo zingefanya mambo ya maendeleo
 
Kampeni impatie ushindi wa kishindo mheshimiwa Norbert Yamsebo, nipo huku Sumbawanga tunahamasisha vijana kwa wazee wamama kwa wabibi kwamba haki inakaribia
 
Back
Top Bottom