Sumaye: Wanaouawa, damu yao ndio hukomboa wengine

Sumaye: Wanaouawa, damu yao ndio hukomboa wengine

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,178
Reaction score
162,659
Hayo ni maneno ya mh.Sumaye huko mkoani Geita wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo.

Mh.Sumaye amekemea mauji ya watu wenye mawazo tofauti.

Chanzo:ITV
 
Asituondoe kwenye reli asubiri majipu ya viwanja in coming 30 days
 
sumaye bwana mbona alivyokua waziri mkuu wa mkapa hakua naongea huu ujinga. huyu mzee anacheza na akili zetu huyu.
 
Mie ningekuwa na mamlaka ningemkamata na kumfungulia kesi ya kutoa kauli za uchochezi
 
Hayo ni maneno ya mh.Sumaye huko mkoani Geita wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo.

Mh.Sumaye amekemea mauji ya watu wenye mawazo tofauti.

Chanzo:ITV
Amuambie mamvi
 
Hayo ni maneno ya mh.Sumaye huko mkoani Geita wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo.

Mh.Sumaye amekemea mauji ya watu wenye mawazo tofauti.

Chanzo:ITV

Just checking....Hivi huyu mtu alishachukua kadi ya Chadema??
 
Sumaye kweli hamnazo,wale wapemba waliokufa 2001 yeye alikua waziri mkuu na alifanya nini kuzuia hayo mauaji
 
Huyo mr zero aliingiza mbwa msikitini. Damu yake ikakomboe nyumbu wa ukawa kutoka kwenye utahaira.
 
Huyo anayelaumu Sumaye kwa ajili ya walioumizwa mwembechai ajue kwamba wa kulaumiwa kabisa kwa hayo yaliyotikea n Mahita na wala siyo Sumaye.
 
Chuki zitakuua umfungulie kesi kakosA nini? Uchochez waujua ww

nikikumbuka alivyoingiza mbwa msikiti wa mwembechai mie hoi! nikikumbuka alivyowarubuni madaktari na kuwaongezea hasira kipindi cha mgomo katika ukumbi wa dental 2005...huyu kweli aliisaliti serikali kwenye mambo mengi... hafwai kabisa!
 
Huyu jamaa na yeye ni Mpinzani. Anapinga ufisadi ha ha ha
 
Back
Top Bottom