sumaye hana tofauti na ushuzi uvumapo humsumbua kila mtu atakayepitisha pua yake, vipi rushwa iwe chungu leo kwa sumaye tena baada tu ya kupoteza mamlaka. kwa uraisi hawezi kwani tayari ameshindwa hata ujumbe.na ataupataje ikiwa waliomwangusha kwa rushwa bado wamemzunguka?yote kwa yote mwizi akiibiwa huona uchungu kama yeye hakuwahi kuiba vya watu. lakuvunda halina ubani.