Sumaye kuboresha Elimu akiwa rais 2015

Sumaye kuboresha Elimu akiwa rais 2015

Makitauo

Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
99
Reaction score
21
Waziri mkuu mstaafu Sumaye amesema akiwa rais mwaka 2015 ataboresha maslahi ya walimu na nyezo za kufundishia. Source Hot mix ya EATV jioni hii.
 
Nape.....hebu njoo kipande hii!
 
We unayesema hana elimu, yako imetusaidia nini?fyi sumaye is the best leader and clean also firm in action.we umekua jana ndio maana humjui vema usihukumu kwa kusikia bali uhakiki vema usemacho.
 
Alishindwa kuyafanya yote hayo kwa miaka kadhaa akiwa na vyeo huko serikalini leo ndo anakumbuka shuka wakati kumekucha! Hatufai kuwa Rais huyu!
 
Hicho kipindi cha leo au recorded? Kashasahau kile kikao cha chai dom?!
 
1995 - 2005 Rais IMARA na waziri mkuu dhaifu

2006 - 2008 Rais DHAIFU na waziri mkuu imara

2008 - 2015 Rais DHAIFU na waziri mkuu dhaifu zaidi

Baada ya 2015 hatuhitaji dhaifu hata mmoja kwa hali tuliyonayo vinginevyo itakuwa majanga
 
Waziri mkuu mstaafu Sumaye amesema akiwa rais mwaka 2015 ataboresha maslahi ya walimu na nyezo za kufundishia. Source Hot mix ya EATV jioni hii.

Usimwite waziri mkuu mstaafu mwite Waziri mkuu wa zamani
 
Hakuna cha sumaye wala lowasa wataboresha elimu.hao wote waroho wa madaraka tu kwa historia ya nyuma inawahukumu wote hawafai kuwapa nchi wezi watupu
 
Sumaye F, kweli kazi ipo. Kama ataweza kufanya alivyofanya mkapa kweli atasaidia
 
Sumaye awe raisi wa nchi gani???? Lets stop this madness let him enjoy his retirement, Damn I need a drink after this news
 
Waziri mkuu mstaafu Sumaye amesema akiwa rais mwaka 2015 ataboresha maslahi ya walimu na nyezo za kufundishia. Source Hot mix ya EATV jioni hii.

Kumbe anajua kuwa elimu ya sasa ni kimeo?? Kwanza Alishindwa nini wakati alivyokuwa PM??
 
Back
Top Bottom