Sumaye: CCM waliibeba IPTL na Escrow

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
New-Doc-2017-07-02_11.jpg
 
Ccm ni kama mwizi ambaye ameacha kuiba kwa muda lakini siyo kwamba kazi yake ya wizi ameisahau
 
Kipindi akiwa waziri mkuu ndo kipindi ambacho mikataba ya kifisadi iliingiwa ikiwemo hio extension ya contract na Iptl halafu mbowe aangalia gazeti lake sio kila habari inakaa front line akadhani atauza badala yake gazeti linazidi kuporomoka
 
Mwanamabadiliko wao mpendwa huyo kaongea!! Akisaidiwa na yule wa " Waislamu mmekuwa baridi sana". Ni shiiida.
 
Tungekuwa na katiba inayokubali kuwatia hatiani marais nadhani huu upumbavu tusingekuwa tunausikia. Waziri mkuu kwa hii nchi ni kivuli cha rais tu,hawa wote (waziri mkuu na rais) wanapaswa wawe wanashitakiwa. Pamoja na hayo yote wafukuzwe kwenye vyama wote,hata hao marais na washukiwa wote.
 
Ukipitia ukuu fulan huriziki utapenda ufike kwa yule aliyekuweka huo ukuu
Jipange sumaye ngoma irudi kwako na lowasa wagombea tarajiwa
 
Ukweli inabidi usemwe bila kuangalia kaongea nani na huu ndiyo ukweli hongera sumaye japo wengi hawapendi ukuusikia hila hii kauli angetoa mkulu ungesikia katumwa na mungu
 
Back
Top Bottom