Sumaye angefaa zaidi kugombea uraisi kuliko Lowasa.

Sumaye angefaa zaidi kugombea uraisi kuliko Lowasa.

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Ni maoni yangu sina hata sababu ya msingi ILA ni kutokana na Background yao hasa ukizingatia Sumaye ndiye amekuwa Waziri Mkuu kwa muda mrefu katika kipindi cha serikali ya mfumo wa vyama vingi kuliko mawaziri wengine wakuu walioshika nyadhifa hizo. I mean Lowasa na Pinda.
 
nani amekuuliza, kwa sasa mwambie agombee nyumbani kwenu kama kuna nafasi. As we speak EL ndo mgombea na FTS anakubali juu ya hilo na tuko naye
 
Usijali mkuu,najua ni wazo lako ila kwa sasa ndio tushampitisha mzee wa maamuzi magumu so tumpe support huyo, bado maisha yanaendelea........
 
Ni maoni yangu sina hata sababu ya msingi ILA ni kutokana na Background yao hasa ukizingatia Sumaye ndiye amekuwa Waziri Mkuu kwa muda mrefu katika kipindi cha serikali ya mfumo wa vyama vingi kuliko mawaziri wengine wakuu walioshika nyadhifa hizo. I mean Lowasa na Pinda.
Subiri warudi kutoka mtoni uje uoge mitusi yao,unasema mungu wao hafai?Lowas ni Don,ni untouchable ,ukitaka kupata mitusi sema ukweli ambao wengi wao hawataki kuusikia wanataka tu kumsifia mungu wao,
 
Sumaye angegombea tusingeona mafuriko Lowassa is bigger than CCM and CHADEMA combined...huyu mzee ana nguvu za ajabu sana

mafuriko yana faida gani kama siku ya kupiga kura hayataonekana?
 
Ni maoni yangu sina hata sababu ya msingi ILA ni kutokana na Background yao hasa ukizingatia Sumaye ndiye amekuwa Waziri Mkuu kwa muda mrefu katika kipindi cha serikali ya mfumo wa vyama vingi kuliko mawaziri wengine wakuu walioshika nyadhifa hizo. I mean Lowasa na Pinda.

Kwani sasa hivi anatumikaje? Kama power bank?
 
Sumaye angegombea tusingeona mafuriko Lowassa is bigger than CCM and CHADEMA combined...huyu mzee ana nguvu za ajabu sana
Lowassa amethubutu ku stand against the system singlehandedly this alone makes him special. Lowassa made of steel with a heart of gold masalio chamani mbao chakavu. Mabadiliko lazima.
 
nadhani pia ungewaambia magamba wenzako kuwa nyani aka tyson alikuwa anafaa kuwa presidential material kuliko makufuli
 
Mkijikita kuongelea watu badala ya sera na misingi ya kanuni mmefulia.
 
jamani tanga tunamsubiri rais kwa hamu!!!!si mnajua tena huku mahaba ndio kwao!!???
hebu shost waambie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom