Alianzwa kwa kuitwa zero,yaani mukichwa ni mtupu,akaja maliziwa kuitwa lofa na mpumbafu,nani atamsikiliza zaidi ya malofa,wapumbavu na manyumbu wenzake tatalillaa lallaaa hahhaaa hehehhheee teh teh teheeeeee!!atabaki kuuza sura kwenye magazeti ya kufungia utumbo wa mafungu,kwisha habari yake yaani ni kwishney