Sumaye aibuka tena

Hebu weka picha yako tuione kama hunayo na wewe. Masikio kama tingatinga
 
Huu uchaguzi umemchakaza usoni.
Ona makunyanzi yalivyoongezeka!!!

Huyu ndio yule ambaye siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pale jangwani aliyeambiwa ni mpumbavu na ni lofa. huyu hana tofauti na yule mnyama ambaye hata ukimwekea chakula kwenye sahani, yeye anakiweka chini. Sasa eti leo ndo anajua kwamba walikuwa wanapambana na dola, huyu kweli ni ziro.
 
Mbona hata wewe hapo ulipo umejinyea na kama huamini jiangalie kwenye kinyeo/kijambio uone kama hayamo.

Yes najinyea kweli lakini ni chooni kunakohusika tu na siyo hadharani mbele za watu kama vile geita, tanga na tunduma.
 
Hivi yule supu ya miguu ya ng'ombe mahanga yuko wapi naye! maana hasikiki kabisa. bado yupo segerea kweli!
 
Hivi yule supu ya miguu ya ng'ombe mahanga yuko wapi naye! maana hasikiki kabisa. bado yupo segerea kweli!
 
Alichowahi kuwatendea wenzie Mungu kamrudishia kwa uzito ule ule ..aliwaaandama wapinzani sahivi anaandamwa yeye, akubaliane na theory za maisha kwasababu ziko hivyo hivyo.
 
Mh.Sumaye kasema ukweli ulio uchi.pasi na chembe ya uasi.
 
Naam, kisu walikinoa sasa kina wachinja wao, hili ni fundisho kwa wana siasa wengine
 
Yuko vzr. Aachen abwatuke. Cc Kazi inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…