Sumatra imefungia mabasi yote ya Kampuni ya Mohamed Trans na 4 ya OTA kwa kukiuka masharti ya leseni ya biashara, haya yamesemwa na Mkurugenzi wa SUMATRA G. Ngewe
Sasa mabasi yenyewe yana tatizo gani? Mabasi yafungiwe kwa tatizo la kiufundi na sijui kama mabasi yoote yanaweza kuharibika kwa wakati mmoja. Vinginevyo waendeshaji wachukuliwe hatua wakati mabasi yakiendelea kufanya kazi maana bado tuna uhaba wa mabasi
Mbwembwe tu na mihemko.. Soon watayafungulia.. Kwan hii ni mara ya kwanza hao mohamed trans kufugiwa... ?? Hiz sanaa za bongo zinachosha.. Mbwembwe pakishatokeaga ajali..cjui mwanzo wanakuaga wapi , yan alarm yao ya kufanya kazi ni mpaka tupoteze ndugu zetu... Kweli hii ni #nchiyamwendokasi na mihemko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.