"sumatra tunaweza" hili tangazo la kipuuzi kweli

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani imagine serikali imewaamini kawatengea na fedha
kadhaa kuweza kusaidia swala la usafirishaji
wanadiriki kutanga"sumatra wakishirikiana na mashoka a mart"
wameanza zoezi la kukamata magari
sasa kama mmeaminiwa na kuajiri watu kwa ajili ya kusimamia usalama barabarani kwa nini mnawakimbilia hawa majembe;israel kuna dili gani linaendelea jamani;hili tangazo naona ni kujizalilisha kama mmeshindwa kabidhini m,adaraka kwa wenyewe wenye uwezo waingie mtaani sheemeji
nalaani ushirikiano huu wa majembe na sumtra unachochea rushwa kama amuamini nendeni ubungo kuna magari kama dar xpress anatoza 25,000 mpaka 30,000 iweje mengine yakamatwe hawa waruhusiwe wakati mwingine wanaomba chai live na makoti yao kama waokoaji wa "haiti'"
 
hapo ndipo wanaponikera kwenda kuajiri kampuni kukusanya madeni wakati wanawafanyakazi kuliko kuingia mkataba na kampuni ingine kwann usiwaandae wafanyakai wako uwape pasenti fulani kwa kila mdeni utakae kamata mbaona tanesco wakitangaza msako wanakuja wafanyakazi wao na wanafanikiwa wanajipanga mtaa kwa mtaa
 
hapo ndipo wanaponikera kwenda kuajiri kampuni kukusanya madeni wakati wanawafanyakazi kuliko kuingia mkataba na kampuni ingine kwann usiwaandae wafanyakai wako uwape pasenti fulani kwa kila mdeni utakae kamata mbaona tanesco wakitangaza msako wanakuja wafanyakazi wao na wanafanikiwa wanajipanga mtaa kwa mtaa

10%
ndugu hili ni janga la taifa kuliko ukimwi
sijui na itachukua muda kuelewa hili
 
amina na iwe hivyo
imani zetu zikatuponye
 
Kwani wewe hujui kila tenda siku hizi ni majembe action mart.Nadhani kuna Kigogo mwenye nguvu kubwa mwenye hisa ndani ya hii kampuni.
 
Ni ajabu kwamba uwepo wa SUMATRA yenyewe ni utata mtupu dhidi ya kodi zetu. Wafanye kazi basi ili kudhihirisha umuhimu wao wameshindwa hii inaonyesha kwamba hata uanzishwaji wake ilikuwa ni namna ya kuwapatia kazi watoto wa shemeji. Wameajiri kampuni nyingine!! Heeeeh kumbe kazi yao ninini? Jamani Tanzania aibu tupu, haya mambo kwa kweli yanachefua.
 
Back
Top Bottom