SUMATRA huu sio upendeleo?

SUMATRA huu sio upendeleo?

chakati

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Kwanini hakuna daladala zinazotoka njia yoyote kutoka wilaya ya Temeke zinazoruhusiwa kufika posta?Kama Kuna mdau wa Sumatra naomba maelezo,kama ni kuwafaidisha UDA,sasa inatosha!
 
Waambie wapitie muhimbili waungane na wanaotoka mwenge.
 
Back
Top Bottom