Suma JKT Electric Company Hongera

kasindaga

Senior Member
Sep 6, 2013
165
165
Wananchi wa Wilaya za Kishapu na Shinyanga vijijini tuawapokeza vijana wa Suma JKT jinsi wanavyosambaza umeme wa REA.Tumefarijika sana na tunashukuru sana Rais wetu Mama Suluh Hassani kwa kutukomboa na kutupatia umeme ambao utaongeza thamani ya maisha yetu.

Pamoja na mazingira magumu ya jiografia ya Wilaya zetu vijana wa Jeshi pambana Jeshi halishindwi.Nidhamu na ukakamavu mungu atawasaidia.

Mwisho Mama Suluhu tuongezee kilomita za Mradi kwa sasa vijana wetu wanasambaza eneo la mradi kilomita moja tu.
 
Back
Top Bottom