Suluhisho ni Lipi?

Suluhisho ni Lipi?

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,840
Habari wapendwa wooote humu ndani......
Natumai wote tuko kamili saaanaa kama unastress ni kitu cha kawaida ..

Nimegundua, wengiii tunatatizo la kukata tamaa pale tunapowapoteza wale tuliowapenda sanaaa ( wapenzi na dearest wake/waume zetu) na kuhisi hakuna atakaye tokea kama yeye.

Hapo unatokea mtawanyiko wa watu sasa,
1.kuna wale wanaingia kwenye mahusiano mengine kwa kulipa kisasi alichofanyiwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Hii huishia kuwaumiza wengine wasio na hatia.
2.kuna wale wanaoamua kuoa/kuolewa kwajili ya kujikinga kutoumia/kumkuta kama yaliyopita.
3.Anaamua kujizira kwa maana anaingia kwenye relationship 100 ndani ya wakati mmoja.
4.kuna sisi ambao we dont feel love kabisaaa mpaka watu wa karibu wanahisi mtu unafanya uchaguzi sana kumbe no affection.
5.kuna wale wanaojikuta wanajiingiza kwenye tabia tofauti kama, alikuwa si mlevi akaamua kupiga gambe la hatari na kujikuta akipoteza uelekeo kabisaaaaa...

Kama kuna niliowasahau naomba mnisaidie kuongezea hapo...
Nyie mliosimama kwenye mahusiano/ndoa zenu na sie wahanga hebu tusaidiane mawazo..
Nini cha kufanya pale unapokuwa umeumia/umeumizwa....ulimwacha mtu unaempenda na kujikuta unaangukia hapo/uliacha...

Let us be serious on this....tusaidiane.

Unayejua huna comment tafadhali soma na kaa kimya sipendi kwenye ishu serious kuleta utani/mawazo ya hafifu.
Div 6 not needed here.
 
kuwa wa kwanza kuacha,

kuwa wa kwanza kupona maumivu ya kuachwa,

kuwa wa kwanza kuzuia kuachwa.
 
hata mimi div.6 ivo napita tu mke mwenza!!.ila mmeo kakumic eti ukuje
 
hapa huwa ni wakati mgumu mno katika maisha! hakuna kipindi kigumu kama hiki! nilitamani hata kufa! ila nashukuru walionipa councilling! walinifanya nirudi kuwa normal japo hadi sasa sina hisia za mapenzi hata kidogo
 
Hakuna formula

Ila kwa ambao hamjaingia ndoani (hapa na-assume walioko ndoani wengi walitafakari na kufanya maamuzi hayo kutokana na mapenzi ya dhati kati yao; ingawa in reality sio wote)

Chukulia mapenzi kama adventure

Kuna kupata na iukosa

Take risk

Usifananishe oenzi hioi na lile na maumivu ni sehemu ya mapenzi mpaka pale utakapompata the right person
 
ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo mwisho wa siku hakuna msimamizi wa imani yako bali tu washiriki wa furaha yako pale unapoamini
 
hapa huwa ni wakati mgumu mno katika maisha! hakuna kipindi kigumu kama hiki! mimi binafsi nilitamani hata kufa! ila nashukuru walionipa councilling! walinifanya nirudi kuwa normal japo hadi sasa sina hisia za mapenzi hata kidogo! yaani hisia zangu ni 0! japo nilijaribu kuanza mahusiano mapya lakini nimeshindwa.....
 
Ni kweli inaumiza sana,ila kinachotakiwa ni kujipa muda,muda huponya majeraha,uhusiano unapokufa ni vizuri kutulia,anza uhusiano mwingine ukiwa fresh kabisa,kosa kubwa kuanza uhusiano ukiwa na stress utajikuta unaruka mkojo unakanyaga mavi.

Dedication: Serebuka by Mwasiti.
 
hapa huwa ni wakati mgumu mno katika maisha! hakuna kipindi kigumu kama hiki! nilitamani hata kufa! ila nashukuru walionipa councilling! walinifanya nirudi kuwa normal japo hadi sasa sina hisia za mapenzi hata kidogo
Pole sana mkuu....Naamini utapenda tena japo haijulikani ni lini?
 
Ni kweli inaumiza sana,ila kinachotakiwa ni kujipa muda,muda huponya majeraha,uhusiano unapokufa ni vizuri kutulia,anza uhusiano mwingine ukiwa fresh kabisa,kosa kubwa kuanza uhusiano ukiwa na stress utajikuta unaruka mkojo unakanyaga mavi.

Dedication: Serebuka by Mwasiti.
its true..
 
Kumbe naww uliumizwa?...pole,

Muhimu ni kisubiri mpk muda muafaka utakapopenda tena
Asante..kama unajua kuna kusubiri muda muafaka kwanini tunaambiwa tuna chagua sana?
 
Back
Top Bottom