barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,299
- 660
Umefanya vizuri kutujuzaHapa inahisishwa maradhi yote ya tumbo ikiwemo vidonda sugu vya tumbo pamoja na wenye matatizo ya gesi tumboni. Tafuta majani ya Songwa au ( Msongwa) majani kiasi tu loweka kwa muda wa masaa mawili na zaidi maji yawe Lita zisizopungua tatu.uyatumie kwa muda wa Siku tatu.hii ndani ya Siku hizo tatu itakuwa umepona au umeona mabadiliko makubwa.cha kuzingatia ni kwamba majani haya yachumwe kwenye uoto wa baridi kanda zenye baridi kama mbeya has a rungwe.ndani ya Siku saba utatoa ushuhuda wako
Kwa maelezo zaidi 0753224347
Barnabas masoko
Itakuwa na ndugu kule ambako zipo ndugu Fanya wakusohezeeKusikokuwa na songwa tunywe nini?
Poa ngoja nijalibuMajani ya songwa ndio yapo vipi mkuu?
Kama vipi weka hata picha tuyaone hayo majani.
Ni Nina maalufu kwa mbeya yawezekana lakini silijui Nina lingine kwani hata ukienda google kwa Nina hilo inakujaMkuu hilo jina mbona kama umeandika la kabila lako!! Hakuna jina lake la kitaalamu au angalau picha!!!
Sawa sio mbaya hujaumwa nduguWe naye majani ya songwa mm nipo k.kooo nayapata wapi xxx peleka huko mitishamba