Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Una akili sana mkuu, hata kama umedanganya, nimependa mtiririko wako wa usimulizi. Na wengine tumejifunza kwa hiki kidogo ulichotuwekea. Wengine sijui wakoje, wamekalia ushabiki wa kidini, ukabila na blah blah blah kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anafanana na magufuli kwa uzalendo
 
Kumbukizi
12 Jan 2020
Muscat, Oman

Hotuba ya mwanzo ya Maulana Mtukufu Sultan Qaboos bin Said kwa waOmani alipochukua madaraka miaka 50 iliyopita

50 years of development, dedication & mutual love between the late HM Sultan Qaboos & people of Oman Report: Saleh bin Khalfan Al Rahbi

Source: Oman News Center
 
January 12, 2020
Muscat, Oman

HM Sultan Haitham bin Tariq Al Saeed receives H.E British Prime Minister Boris Johnson

Source: Oman News Center
 
January 12, 2020
Muscat, Oman

Waziri wa Ulinzi wa Uingereza na Ujumbe wake wa maofisa wa ngazi ya juu waandamizi ktk jeshi la Uingereza wafika kumpa pole Mtukufu Sultan Haitham bin Tariq Al Saeed na raia wa Oman kufuatia msiba mzito


Source: Oman News Center
 
12 Jan 2020
HM Sultan Haitham bin Tariq Al Saeed receives HRH Prince Charles of Wales

Source: Oman News Center
 
January 12, 2020
Muscat, Oman

Viongozi toka mataifa ya nje Emir wa Kuwait, Emir wa Qatar, Mfalme wa Bahrain, Mfalme wa Tororo akiwakilisha salamu za Rais Yoweri Museveni wa Uganda na wengine wengi wafika kumpa pole Sultan Haitham bin Tariq Al Saeed na raia wake wa Oman kufuatia msiba mzito

Source: Oman News Center
 
Acha chuki zako mshamba wewe,kama huna general knowledge ni upuuzi na uvivu wako mwenyewe,una roho mbaya hata kwa mtu ambae ukoo wenu wote mjkichanga kila munachomiliki hamuwezi kufikia thamani ya ndala zake za kuendea chooni.
Kama hujui chochote kuhusu yeye kaa kimya,tutajua kuwa humjui,wangapi wamekaa kimya,PIMBI WEWE.
 
Anatokea msjamba mmoja anajiita sijui "Acid"anamponda mtu ambae hajawahi kunyooshewa kidole kwa baya lolote na mtu yeyote DUNIANI,jambo ambalo ni alama ya utu na heshima.
 
Huyu jamaa alikuwa maarufu huko pwani,tanga na Zanzibar

Mie nimjua baada ya kufa kupitia hapa if

SIDHAN KAMA NDUGU ZANGU HUKO MBEYA AMBAO HAWAPO JF WANATAMBUA KUWA KAFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatokea msjamba mmoja anajiita sijui "Acid"anamponda mtu ambae hajawahi kunyooshewa kidole kwa baya lolote na mtu yeyote DUNIANI,jambo ambalo ni alama ya utu na heshima.
Mtu kama huyo anayejiita Tindikali ni watu wenye roho za kichawi, anamchukia mtu tu bila sababu yoyote, hajamkosa kitu, hamfahamu mwanzo wala mwisho, ameshindwa hata kujifanyia kiutafiti kidogo kuelewa huyu ni mtu wa aiana gani badi anakuja humu anatapika na kuharisha bila mpango. Huyo alifaa ajiite "diarrhoea".

Kama kuna kiongozi yeyote duniani wa hivi karibuni anaefaa kupigiwa mfano kuwa ni kiongozi bora, basi itakuwa ni Qaboos, kwa wale wanaotazama dunia inavyoongizwa bila kuwa "biased".
 
Asipoelewa kama kweli haelewi basi hata elewa hata kwa msaada wa mashine,muhimu ni kwamba tumefahamu huyo"UHARO"kuwa ni mtupu kwenye mambo ya kawaida kabisa,huku akijificha kwenye kichaka cha chuki UCHWARA.
 
Sultani Kwabuzi!!!
 
Kwahio watu wakikwambia Mama yako ni Kahaba automatically atakua ni Kahaba kweli? Hebu kuwa na utu uache kumsengenya marehemu. Pumbav
Hayo mambo ya mambo ya mama yako wewe kuwa kahaba hata siyajuhi!
wewe kama umeamua kuyamwaga hapa mimi simo.
 
Tindikali

...sifahamu kuhusu siasa za ndani ila wametupita

Well, siasa za ndani huwa hakuna, Oman ya Sultani Kwabuzi.

He was a ruthless omnipotent ruler who brooked no political processes.

2014 alipotezwa mwandishi mkosoaji na mtetezi wa haki za binadamu Mohammed Alfazari, aliyewekwa kizuizini kituo cha polisi na kuondoka mazima.

Hakuna bunge, sheria za Oman zinapitishwa kwa tangazo la mfalme, royal decree. Anachoota usiku asubuhi kinatangazwa, mchana sheria!

Sultani Kwabuzi amekufa akiwa Gavana wa Benki Kuu ya Oman, Mkuu wa Majeshi ya Oman, Waziri wa Mambo ya Nje, Waziri wa Ulinzi na Sultani wa Oman, vyote kwa mpigo.

Dikteta Jean Bedel Bokassa, Seseseko Kuku Ngebendu, Dada Iddi Amini Nduli, walijilimbikizia mavyeo ya kijeshi na kiraia lakini uroho wao wa madaraka haukufikia wa kujiweka Ugavana wa Benki Kuu ili uwe mmiliki binafsi wa akaunti kuu ya nchi kama alivyofanya Sultani Kwabuzi.
 
Kweli Waafrika tunasahau kabisa . Hawa hatuna undugu nao walituuza kama kuku hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…