"Ndio, lakini inategemea na mahali leseni ilipo. Tuna data za exploration kwa maeneo mengi, ingawa yapo pia maeneo mengine ndani ya leseni husika ambayo hayana kabisa taarifa za kijiolojia. Hivyo, tutamshauri afanye aina mbalimbali za utafiti wa awali kulingana na malengo yake.