stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,826
- 22,935
Naombeni msaada wataalamu wa JF,sukari katika mwili wa binadamu katika hali ya kawaida inatakiwa iwe kiwango gani,kwa vipimo vya Hospitali!na ni vitu gani ukifanya vinaweza kusababisha sukari yako kushuka,na inapokuwa imeshuka unatakiwa kutumia nini ili uweze tena kuirudisha kwenye hali yake ya kawaida!