Sukari 6 asubuh ni sawa?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,788
Reaction score
4,477
Habar wakuu nikipima sukari asubuh ya saa mbili Iko 6 na hapo nakua nimekula chakula saa mbili usiku,je kiwango Hiki nisawa? Kwa mwezi huu wa ramadhani nikija pima saa kumi na moja jioni nakuta Iko 4.7 hapo nitangu Nile Jana jioni yake ktk futar
 
Fanya huu utafiti, acha kutumia sukari na vitu vyenye sukari mwezi mmoja af uwe unajipima kila asbh uone mabadilko, Ukiona inashuka ushajua cha kufanya.
 
Endelea utakipata unacho tafuta.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…