sugu

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
zamani shule nyingi za msingi kulikuwa na mtoto amabyae ni sugu,siku hizi kuna masharobaro>Shule yetu alikuwepo mtoto mmoja yaani sugu kwelikweli,yaani akichapawa hata na walimu wote halii,havai viatu,mwili mzima una makovu na anakanyaga miiba.Je wewe shuleni kwenu unamkumbuka sugu wenu????
 
shuleni kwetu sisi kukiwa na mwanafunzi 'jeba' lazima awe kiranja au monita wa klass.
 
Shuleni kwetu kuna mwanafunzi alimaliza darasa la saba hajui kusoma,ilikua 1994 lakini hakufaulu
 
I remember those day when my head teacher called me "MTUKUTU" na nilikuwa mtukutu kweli.
 
shuleni kwetu kuna jamaa alikuwa amekomaa balaa yaani anapasua nazi kwa ugoko.
 
sisi shuleni kwetu kulikuwa na jamaa alitoka moshi kw utukutu kuja dar shule ya msing mabatini tandika magorofani,huyo bwana alikuwa anaitwa donald yn sugu sijaòna,nliwahi kupgana nae mpaka nkachoka nkamkimbia manake nlipga nkajua naua.
 
daa nakumbuka mbali sana kuna jamaa alikuwa sugu xuli kwetu mpaka akikalia mfuko wa rambo(plastic bag) inachanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…