ni makosa makubwa kumuweka FA kwenye level za sugu....!
ukiacha fact kwamba wameimba katika zama mbili tofauti...hoja ya msingi pia mziki wao haulinganishwi kwa kuwa tu hamisi hafanyi hip-hop kabisa....!kihistoria hiphop ni mziki wa kiharakati zaidi...!sugu ameghani aina ya miziki hii ya harakat since 1994...and by then gk..dilop...balozi...walikuwa wanaibuka...!
unajua mim siwez kumleta fa kwenye level ya mziki ule wa sugu....!
sugu yupo juu sana