Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa kwenye mahojianao na Mwananchi Digital, amesema "CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA chama kikuu cha Siasa Tanzania kwasababu kingekuwa chama cha upinzani kama kungekuwa na chama tawala lakini CCM sasa hivi hawatawali nchi inatawaliwa na Dola"
Ameongeza kuwa sasa hivi CCM ni kama wamekabidhi au wamenyang'anywa jukumu lao la kufanya siasa.
Ameongeza kuwa sasa hivi CCM ni kama wamekabidhi au wamenyang'anywa jukumu lao la kufanya siasa.