Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

mbona sijasikia humu jf watu wanasema jk au kiongozi yeyote wa ccm amefanya makosa then mtu anasema mi narudisha kadi hii inaonesha zahiri humu ndani kuna wanafiki kibao na makuadi better is to stay positive if you have card of any party whether ruling or opposite in steady of making noise here jf..
 
nenda kasome kiswahili kidato cha pili mada ya muktadha na maudhui! usituchefue hapa jamvini, wabunge wengi wanaolala club 84 wakishika malaya matak.o kila saa ndo wastarab kuliko sugu? sugu mtu poa sana na anafanya kile anachoamini ktk fani yake, kwa nn asifanye hivyo kwnye ukumbi wa makinda
 
SUGU AMESAHAU MATUSI MAZURI KWA HAWA WAUZA MTANDAO WA NUSU SHILINGI,PAMOJA YA KUWA NI WA SE NGES WANAJIUZA KWA SANA KILA KONA YA JIJI LA DAR NA WANANUNUA MABWANA,NITAKUTUMIA MATUSI MAZURI YA KUWATUKANA HAWA WALA USIJALI


HUYO NI MSANIII MR 11 AKA SUGU,AKIWA BUNGENI ANASIMAMA KAMA MWAKILISHI WA WANANCHI WA MBEYA TOWN,AKIWA KWENYE SANAAA ANASIMAMA KAMA KAMANDA WETU

big UP SUGU
 
CHADEMA is led by a mobster Mboye, no wonder the surbodinates copy their prexy's ways. Mboye has yet to enoxerate himself from allegations that he is an infamous marijuana smoker. Imagine in the future having these type of hooligans acting as our ministers, this should never happen during my life time. I am not stupified when I see these 'leaders' coax desperate youths into deluging streets, doing vandalism under the umbrella of peaceful demonstrations.

Wapi hiyo? Wacha kupotosha? au unamfurahisha nani?
 
Nilisema taarifa yake rasmi kwa vyombo vya habari ilikuwa na makosa ya kiuandishi kwa mtu mwenye wadhifa wa mbunge, lakini hii status yake kwenye facebook imetia fora.

Hapa Sugu kama role model wa vijana anawafunza nini?[/QUOTE]

Funzo ni kwamba ukicheka na Nyani utavuna mabua, na ukitaka kumuuua Nyani vilevile usimwangalie sura
 
Tuacheni ushabiki, maneno aliyosema Sugu ni utovu wa nidhamu kwa wapiga kura wake ambao wengi walihudhuria hilo tamasha. Hatuwezi kuwa na viongozi wa namna hii ambao hawana subira na stara kwa yale wanayoyaamini au labda Sugu hafanani na status yake?
 
CHADEMA is led by a mobster Mboye, no wonder the surbodinates copy their prexy's ways. Mboye has yet to enoxerate himself from allegations that he is an infamous marijuana smoker. Imagine in the future having these type of hooligans acting as our ministers, this should never happen during my life time. I am not stupified when I see these 'leaders' coax desperate youths into deluging streets, doing vandalism under the umbrella of peaceful demonstrations.

Nikiambiwa nichague kati ya haya hapo chini, nachagua namba 3:

1. UZINZI

2. WIZI

3. UVUTAJI BHANGE

4.
UFISADI

5. UNAFIKI

..............wewe utachagua namba ngapi ndugu!!??
 
Nimefurah Sugu kutamka hlo "tusi"...ooooof imepngza hasra nying za kuvamiwa na kuibiwa vfaa vyke vya mzk,kuibiwa project yke n.k Amedhulumiwa sana,amepgwa vita sana tena ya waz na kna Ruge& Co...!!kwa bnadamu huwez kuacha kuwa na moyo wa "kisasi"...anayeweza n yeye yuleyule asye na mbadala..yeye s mwing wa hasira n mwng wa rehema...SUGU n bnadamu acha autimze ubnadamu wake kwa "tusi" SUGU hakuwah kuwa mwanasiasa,zaid ya mzki..toka kuwa mlinz getin pale BP mpaka mzki..n mtoto wa mtaa,hustler na mwanahphop..hakuandaliwa kuwa mwanasiasa lkn amekuwa,lkn n mwakilsh wa kwel juu ya hsia na matatzo ya watu...anaweza tena sana mana maisha ya dash na mlo mmoja ameptia...hajabebwa,alijbeba kufkia mafankio yake! Kwa "Ethnocentrist" Sugu n "muhun" tena watampa kila aina ya majna mabaya na kumthumu kwa hla na dhihaka,lakn kwa "Relativist" SUGU n shujaa ameonyesha pcha yke,hsia na dukuduku lake..n njia nzur kuliko angechukua Bunduk na kuua.... SUGU n mwanahphop..and hphop z ol abt busting frankly and openly what shouldnt even b busted in a closed cube...jasir aachi asiri..thats z hiphop!awez kubadlika kwa miez mitatu ya kuwa Mbunge kwa uasiria wake wa miaka zaid ya kumi na kenda...!I stand to be corrected
 
Hamjasikiliza antvirus....??ni mwendelezo tu, na bado!! ''Dili la malaria,dili la malaria..nani alianza...!!''
 
Tuacheni ushabiki, maneno aliyosema Sugu ni utovu wa nidhamu kwa wapiga kura wake ambao wengi walihudhuria hilo tamasha. Hatuwezi kuwa na viongozi wa namna hii ambao hawana subira na stara kwa yale wanayoyaamini au labda Sugu hafanani na status yake?
Mkuu, haya maneno angesema muhuni wa Tandale Uzuri wala kusingekua na malalamiko yoyote, tatizo kayasema mbunge, mtunga sheria wa bunge letu
 
Nikiambiwa nichague kati ya haya hapo chini, nachagua namba 3:1. UZINZI2. WIZI3. UVUTAJI BHANGE4. UFISADI5. UNAFIKI..............wewe utachagua namba ngapi ndugu!!??
Hakuna neno la kuchagua hapo yote ni upuuzi
 
Mimi ni mtu mzima najiheshimu ata siku moja siwezi kutumia matusi kufikisha ujumbe, lazima mmkubali Sugu kafanya kitu cha kihuni

Brooh acha hizo, Mtu mzima ni mjaluo tu na ukumbuke kuwa Rais wako alishasema kuwa "watanzania mkitaka kula lazima mliwe kwanza"..je hilo kwa mtazamo wako sio tusi?

Sugu endelea hivyohivyo, wapiga kura wa Mbeya mjini wako pamoja na wewe kwani wanakufahamu rangi zako toka ukiwa kitaani na huvai ngozi ya kondoo asilani .....bigup
 
Nabururdishwa sana na pumba za Sugu, nadhani ipo siku atajitambua
 
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook



kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.


Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.


Japokuwa sikubaliani kabisa na matumizi ya lugha za kihuni kutoka kwa kiongozi yeyeote wa umma, bado nashindwa kuthibitisha kama hii quotation imetoka kweli kwenye facebook page ya Sugu. Je, unaweza kutuwekea copy ya facebook wall page ili tuthibitishe unachosema?
 
Huyu SUGU aligombea ubunge kwa sababu ya hawa Clouds, sasa anajibu mashambulizi, huu ni mwanzo tu. Atasema mengi tu siku zijazo. Kwa upande wa lugha aliyo tumia ni wazi kabisa bado ana akili za mtaani,na huu ndio utakua mfano kwa wapiga kura wengine. We sugu, ulisha zidiwa ujanja na hawa jamaa na wala huwezi shindana nao,endelea kuchafua chama kijana.....na msuba endelea nao tu.
 
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebookkama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"so please if that is true then msiondoe hii thread.
CDM haitaji watu wa sampul yako kwani imani na matumini yako umeweka kwa watu binafsi na si chama na sera zake
 
Brooh acha hizo, Mtu mzima ni mjaluo tu na ukumbuke kuwa Rais wako alishasema kuwa "watanzania mkitaka kula lazima mliwe kwanza"..je hilo kwa mtazamo wako sio tusi?Sugu endelea hivyohivyo, wapiga kura wa Mbeya mjini wako pamoja na wewe kwani wanakufahamu rangi zako toka ukiwa kitaani na huvai ngozi ya kondoo asilani .....bigup
Kijana ebu acha kushabikia matusi, kumbuka sugu ni mbunge sio muhuni wa Kwa Mtogore, lazima hawe na heshima mbele ya jamii
 
Back
Top Bottom