britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Swali zuri sana. Hayo ndio matatizo yanayikwamisha Mbeya kwenda mbeleHuyu RC ana elimu gani?
Na hilo nitishio pia muache uoga nyie,Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.
Source:EATV
Mbona kuna Rais wa TLS, Rais wa TFF, n.k.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.
Source:EATV
Ngoja na mimi njiite Raisi wa JamiiForums alafu nione atanishitaki kwa sheria ipi.Swali zuri sana. Hayo ndio matatizo yanayikwamisha Mbeya kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda atakuwa amesomea wadudu kama yule DED wa itigiHuyu RC ana elimu gani?
Sugu hajiiti Rais wa Mbeya, ila sisi wenye Mbeya yetu tumempa Sugu urais, ndio maana hamna Rais mwingine anayetembelea MbeyaMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.
Source:EATV
Hahaaaaa...........Ngoja na mimi njiite Raisi wa JamiiForums alafu nione atanishitaki kwa sheria ipi.
Ana elimu ya ramli chonganishiHuyu RC ana elimu gani?
Alikiwa anafundisha kusoma na kuandika chuo kimoja kipo huko Iringa.Mcheza ngoma za utamaduni aliyebobea.Na vilevile umri si rafiki kabisa kwa madaraka aliyozawadiwa.Huyu RC ana elimu gani?
Wanaangamia na kudhalilika kwa kukosa maarifa.Mbona mnajihangaisha na vitu very minor??
Mngefuata ushairi wa Mwalimu Nyerere, "hivi wakimbeba mgombea wao kama mzoga, nyinyi mnakerekwa nini? Mwacheni wambebe tu" mwisho wa kunukuu
Hivi wakimwita Sugu Rais wa Mbeya, nyinyi mnakerekwa na nini? Mwacheni tu wamwite hilo jina.....