britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.
Source:EATV
Source:EATV