Sugu apigwa marufuku kujiita Rais wa Mbeya

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.

Source:EATV
 
Na hilo nitishio pia muache uoga nyie,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.

Source:EATV
Mbona kuna Rais wa TLS, Rais wa TFF, n.k.
 
Mbona mnajihangaisha na vitu very minor??

Mngefuata ushairi wa Mwalimu Nyerere, "hivi wakimbeba mgombea wao kama mzoga, nyinyi mnakerekwa nini? Mwacheni wambebe tu" mwisho wa kunukuu

Hivi wakimwita Sugu Rais wa Mbeya, nyinyi mnakerekwa na nini? Mwacheni tu wamwite hilo jina.....
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa Nchi ina Rais mmoja tu na Mbunge hawezi kuwa Rais.

Source:EATV
Sugu hajiiti Rais wa Mbeya, ila sisi wenye Mbeya yetu tumempa Sugu urais, ndio maana hamna Rais mwingine anayetembelea Mbeya
 
Kafanya nn cha mana Sugu mbeya.
Anyway 2020 jiandae kuwa na mbunge mpya kutoka ccm nafikiri mnamjua tyr.

Amefanya vizuri sana kumtangaza zaidi mheshimiwa rais wa Mbeya.
Kesho mtalikuta bango pale daraja la treni uyole likimuonesha mheshimiwa rais wa Mbeya - Sugu

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Mbona mnajihangaisha na vitu very minor??

Mngefuata ushairi wa Mwalimu Nyerere, "hivi wakimbeba mgombea wao kama mzoga, nyinyi mnakerekwa nini? Mwacheni wambebe tu" mwisho wa kunukuu

Hivi wakimwita Sugu Rais wa Mbeya, nyinyi mnakerekwa na nini? Mwacheni tu wamwite hilo jina.....
Wanaangamia na kudhalilika kwa kukosa maarifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom