Mgomo unaoendelea kwa sasa kwenye hospitali zetu ni Mbaya kuliko ule LIVE ulivyokuwa. Mgonjwa wako akitakiwa vipimo lazima uende Private ambako bei ya kipimo ni ya juu kupindukia. CT-Scan tu ni 280,000. Na dr. hawezi kumtibu mgonjwa kama huna vipimo vitakavyomfanya ajue unachoumwa exactly.