Sugar mama unahitajika

Mbona post yako imekaa kibaguzi hivyo... Mie ni sugar daddy na nilikuwa nnataka nikupe msaada wa kukulelea kwa hiyo ni PM tuweze kuongea vizuri

Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
ndio maana ukambiwa kama ww ni mwanamke huon huo ni muasho unakusumbua we mwanaume unakimbilia kupost mada isiyo kuhusu hii ni kwa wanawake tu au mwenzetu sio riziki ?
 
Mbona post yako imekaa kibaguzi hivyo... Mie ni sugar daddy na nilikuwa nnataka nikupe msaada wa kukulelea kwa hiyo ni PM tuweze kuongea vizuri

Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile

Hehehehehe watu wakorofi duuuu
Kwahyo unataka kum"Mombasa" mwenzio?
 
humu Jf kuna degree nyigi za unafiki na umbea mtu akitoa lake la moyon kama halikuhusu lipotezee wapo wahusika samahan kama limekuganda kiunon ww mwenye hisia kipolo za kuponda jumbe za watu utajibeba
 
Mwanaume badala ya kufikilia mbinu za kujituma ujikwamue kiuchumi,wewe unafikilia kulelewa,very soon tutasikia unalawitiwa ili upate hela,madogo wa siku hizi mnapenda sana shortcut ndio maana siku hizi madogo wengi wanamegwa.
 
Mwenzenu alilelewa na yule mheshimiwa mwisho ikawa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…