kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Basi ulivyosikia nimerudi kutoka brunei lazima unataje!Kikubwa ni kuiondoa lumumba na vibaraka wake akiwemo kipara Kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ulivyosikia nimerudi kutoka brunei lazima unataje!Kikubwa ni kuiondoa lumumba na vibaraka wake akiwemo kipara Kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amenipa vyote Mali na akili sio ndio maana nipo upande wa ushindi tu!
Yaani hilo mbowe!Bado hili Zimwi letu nalo tulimalize
Wakuitoa CCM madarakani sio CHADEMA/ACT.... bali ni WaTanzania kwa pamoja walioichoka CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Bao potevuUkweli mchungu ni kuwa hatuna Upinzani bora kuliko CCM hii tuliyoichoka. Kwahiyo tutaendelea kuongozwa na CCM mpaka at least 2035 hivi.
Yeye mwenyewe mleta uzi analijua lakini kwa kuwa nae ni msaka tonge lazima ajitoe ufahamu,Kuondoa CCM sio rahisi.Tupate chama pinzani imara
SIO WACHUMI TUMBONI "wasaka tonge"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jinsi!Ukweli mchungu ni kuwa hatuna Upinzani bora kuliko CCM hii tuliyoichoka. Kwahiyo tutaendelea kuongozwa na CCM mpaka at least 2035 hivi.
Leo ijumaa na hii ni january hana bundle!
Leo ijumaa na hii ni january hana bundle!
unaweza kuelezea usaka tonge wa vyama vyetu? je ccm sio msaka tonge tabia za usaka tonge ikoje mimi bona nawaona ccm zaidi katika usaka tongeKuondoa CCM sio rahisi.Tupate chama pinzani imara
SIO WACHUMI TUMBONI "wasaka tonge"
Sent using Jamii Forums mobile app