Wananchi wa Sudani Kusini walipiga kura na asilimia 98.83% wametaka kujitoa na kuwa nchi huru.
Sudani ya Kusini ina mafuta mengi, ila haiwezi kuya export bila kupitia Sudani ya Kaskazini.
Mwalimu Nyerere alikuwa anataka kuunganisha Africa, ila naona viongozi wa siku hizi wanataka kuigawa.
Haya tuone tutanishia wapi.