B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 39,986 Reaction score 68,021 Apr 22, 2023 #21 Mufti Lion said: Ila inatisha kuondoa ugai wa binadamu. Sijui Kwa nini nimeangalia hii video. Click to expand... Inatisha sana
Mufti Lion said: Ila inatisha kuondoa ugai wa binadamu. Sijui Kwa nini nimeangalia hii video. Click to expand... Inatisha sana
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,979 Apr 22, 2023 #22 Acha wapigane siku wakitulia wataheshmiana hao.ivyo ndio sahihi bila hivyo awatopata akili mbwa hao.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,537 Reaction score 20,372 Apr 22, 2023 #23 Mnaunda watu kama Janjaweed kwenda kuua wenzenu wakimaliza hiyo kazi lazima watawarudia maana kuua ndiyo kazi yao. Binadamu bado ni mnyama.
Mnaunda watu kama Janjaweed kwenda kuua wenzenu wakimaliza hiyo kazi lazima watawarudia maana kuua ndiyo kazi yao. Binadamu bado ni mnyama.
shabanmbarak JF-Expert Member Joined Aug 17, 2022 Posts 1,178 Reaction score 1,151 Apr 22, 2023 #24 fired said: View attachment 2595295 Click to expand... Hii sio sudan bali ni south sudan. Africa tuligawanywa tugawanyika soo sad
fired said: View attachment 2595295 Click to expand... Hii sio sudan bali ni south sudan. Africa tuligawanywa tugawanyika soo sad