SUDAN CRISIS: Mauaji, ubakaji na kutoweka kwa watu kwashamiri

Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,120
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,120 2,000
images-7-jpeg.1126137

Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa zaidi ya 129 wameuawa wakati jeshi likidhibiti maandamano dhidi ya Serikali, wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai watu 500 wameuawa

Watu zaidi ya 700 wamejeruhiwa katika ghasia zinazoendelea nchini humo huku waliobakwa ni takribani watu 70

Maelfu ya watu wanadaiwa kutoweka huku wengi wao wakidaiwa Kukamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama

Taifa hilo linaongozwa na jeshi baada ya aliyekuwa Rais Omar al Bashir kuondolewa kwa shinikizo la maandamano ya Wananchi

Kwa sasa wananchi wanalitaka jeshi kuitisha uchaguzi ili kurudisha madaraka kwa raia

=======

US sends envoy to Sudan to defuse crisis amid reports of rapes during military crackdown

The U.S. said on Wednesday that a new special envoy for Sudan has been named to lead diplomatic efforts to resolve a political crisis in that country, two months after its repressive leader was forced from power by mass protests.

The increased U.S. involvement comes after a major crackdown on protest camps in the capital Khartoum last week, during which militias with ties to the ruling military authorities raped at least 70 people, according to a doctors' group affiliated with the protest movement.

The State Department announced it had appointed Donald Booth, who served as U.S. special envoy for Sudan and South Sudan under the Obama administration, to be special envoy again. A former ambassador to Liberia, Zambia, and Ethiopia, Booth was dispatched Wednesday to Khartoum with the top U.S. diplomat for Africa, Assistant Secretary of State for African Affairs Tibor Nagy.

In this June 3, 2019, file photo, a protester flashes the victory sign in front of burning tires and debris near Khartoum's army headquarters, in Khartoum, Sudan.
The two met with opposition leaders and authorities from the Transitional Military Council, which assumed power after President Omar al Bashir was forced out in April. The TMC, as the military authority is known, has promised to lead a transition to elections, but in recent weeks has overseen a violent crackdown on protesters who are demanding civilian rule.

The U.S. diplomats were sent to "call for a cessation of attacks against civilians and urge parties to work toward" resuming talks, the State Department said Monday.

That call came after violence erupted last week, with militias known as the Rapid Support Forces and tied to the military, attacking protesters' camps. At least 70 people reportedly were raped, according to accounts compiled from hospitals by the Central Committee of Sudanese Doctors.

U.S. special envoy to South Sudan Donald Booth speaks during a media conference over the peace negotiations, in Juba, South Sudan, July 31, 2015.
The total number may end up being even "higher than what have been already documented," according to Madani Abbas Madani, a leader of the opposition alliance called the Declaration of Freedom and Change Forces.

The death toll from those attacks is now at least 129 people, with over 700 injured, Madani told ABC News.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,256
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,256 2,000
... naona US tayari katuma ujumbe kupata hali halisi ili misaada ya kibinadamu iweze kutolewa; nchi za kiarabu na kiislamu kimyaaaaa! Kama hawaoni au haiwahusu vile!
 
Dalalims

Dalalims

Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
87
Points
125
Dalalims

Dalalims

Member
Joined Apr 6, 2019
87 125
NILI
View attachment 1126137

NILISEMA, NINASEMA, NA NITAENDELEA KUSEMA KWAMBA. UKIJITOA UFAHAMU NA KUFANYA MAPINDUZI DHIDI YA MTAWALA ALIEKUWEPO MADARAKANI, MWISHO WA SIKU NI MAJUTO.

WASUDAN WALIKOSEA KUIPINDUA SERIKALI NA INAWA-COST.

IWE ITAKAVYOKUWA MTAWALA NI MTAWALA UKIJARIBU KUASI NI LAZIMA UTASABABISHA MAJANGA NA MAJUTO NA HATUJUI WATAENDELEA KUPATWA NA MISIBA HIYO MPAKA MWAKA GANI.
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,337
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,337 2,000
Acheni wale Gharama ya Mapinduzi

Walitamani ‘Juice’ wanayokunywa wa Libya na Wa syria sasa nao wanaionja ladha yake
 
Dalalims

Dalalims

Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
87
Points
125
Dalalims

Dalalims

Member
Joined Apr 6, 2019
87 125
... naona US tayari katuma ujumbe kupata hali halisi ili misaada ya kibinadamu iweze kutolewa; nchi za kiarabu na kiislamu kimyaaaaa! Kama hawaoni au haiwahusu vile!
KWANI WEWE HUJUI NI NANI YUPO NYUMA YA UASI ULIOMUONDOSHA MADARAKANI MTAWALA WA SUDAN? UNASHANGAA NINI SASA?
 
rommy shabby

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Messages
275
Points
250
rommy shabby

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2017
275 250
Sudan ndo basi tena Acha wengine watumie fursa hiyo kujichotea mafuta.
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,251
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,251 2,000
Acha wabakwe tu hiyo nchi inaonea sana wakristo na hiyo ni laana kutoka kwa Mungu kwa nchi zote za kiislam zisiwe na aman na hazitakuwa na aman kwamwe
...............Watakuja waarabu weusi hapa wakwambie hapo kuna mkono wa Mmarekani na Muisrael
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,337
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,337 2,000
Acha wabakwe tu hiyo nchi inaonea sana wakristo na hiyo ni laana kutoka kwa Mungu kwa nchi zote za kiislam zisiwe na aman na hazitakuwa na aman kwamwe

Sudan kusini iko vibaya sana kuliko Taifa lolote lile Africa, vipi laana yao pia inatokana na nini?

Kila siku wanakosana kuuana
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,199
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,199 2,000
NILI
NILISEMA, NINASEMA, NA NITAENDELEA KUSEMA KWAMBA. UKIJITOA UFAHAMU NA KUFANYA MAPINDUZI DHIDI YA MTAWALA ALIEKUWEPO MADARAKANI, MWISHO WA SIKU NI MAJUTO.

WASUDAN WALIKOSEA KUIPINDUA SERIKALI NA INAWA-COST.

IWE ITAKAVYOKUWA MTAWALA NI MTAWALA UKIJARIBU KUASI NI LAZIMA UTASABABISHA MAJANGA NA MAJUTO NA HATUJUI WATAENDELEA KUPATWA NA MISIBA HIYO MPAKA MWAKA GANI.

Tatizo vijana muda fulani hawatakagi kuumiza vichwa kabisa

Badala ya kufocus wanajitoaje katika umasikini kipindi kuna amani wao wakawa wanafikra za kubadili utawala kama fashion vile

Mimi siku zote priority yangu ni kujikwamua, kikinuka bongo nazamia Ughaibuni huko. Kikubwa amani tu na kuishi bila kubanwa na sheria /taratibu za ovyo
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,504
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,504 2,000
Wananchi nao wanazingua sana mamaee...Sasa jeshi limechukua nchi jana tu wanataka wafanye uchaguziii
 
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,837
Points
2,000
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,837 2,000

Hilo jeshi lilikua linaongoza tokea Kanali.Al bar Shir akiwa raisi; kama ujui kitu utulie
 
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,837
Points
2,000
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,837 2,000
Tatizo vijana muda fulani hawatakagi kuumiza vichwa kabisa

Badala ya kufocus wanajitoaje katika umasikini kipindi kuna amani wao wakawa wanafikra za kubadili utawala kama fashion vile

Mimi siku zote priority yangu ni kujikwamua, kikinuka bongo nazamia Ughaibuni huko. Kikubwa amani tu na kuishi bila kubanwa na sheria /taratibu za ovyo
Utakua shoga si bure; huko ughaibuni nao walifanya mapinduzi kama huko unakotaka kukimbia ndo maana wakatengeneza nchi; Nchi siyo ya jeshi wala Al Bashir; wacha waiharibu make ata huko nchi za magharibi nao waliharibu.nchi.kwa muda ndo wakazitengeneza tena.
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,504
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,504 2,000
Hilo jeshi lilikua linaongoza tokea Kanali.Al bar Shir akiwa raisi; kama ujui kitu utulie
Jeshi halikuwa la Bashir na Hakuna mtu mwenye Majeshi dunia hiii hao Marais ni Viongozi tu ndo maana Jeshi linaweza mtoa rais likiamua...!! Sasa hao wananchi Bashir katolewa kwa msaada wa Jeshi leo hii wananchi wanaingia barabarani kushurutisha uchaguzi sijui kwa kweli waache upuuzi watulie uchaguzi utafanyika ila sio kutaka kuharakisha uchaguzi...!!
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,994
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,994 2,000
SEMA KUFENI KWA CHUKI ZENU
(QUL MUTU BIGHAYDHIKUM)
 
Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,440
Top