Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Angalia Vizuri hiyo aina ya simu uliyo iweka kwenye Thread yako km ni Huawei Y311 ama Huawei Y330 Nadhani umechanganya kuna huawei y511
PoaWewe ndo uangalie simu yako unapata rom gan online... Watakapo kwambia aina ya rom basi utaambiwa na suggested tools za kuroot hyo simu... Kwanza Google rom za hyo simu.
Bro acha uongo idad ya sim nilizoroot bila ku unlock bootloader ni kubwa sana ujueHuwezi kuRoot sim bila kuUnlock Bootloader
Jaribu app moja inaitwa poot ila haipo playstore ni lazima ui~sideload....just google poot for root.apkYes imegoma nimetumia hiyo king, kingo iroot, root genius
Huawei Y360 ina MTK CPU hiyo Y3II sina uhakika KM NI MTK AMA QualcomSiyo Huawei Y311ulizoandika mbele ya 3 ni namba yenyewe hizo ni herufi ni Huawei Y3II yaani Huawei Y3ii au Huawei Y3 2 version ya upgraded ya Huawei Y360 iliyotoka mwaka Jana hii ni ya mwaka huu hizi sim bado mpya ina 4G ram 1GB na ROM 8GB android version 5.1
Tayari unafanya marudio kijanaJaribu app moja inaitwa poot ila haipo playstore ni lazima ui~sideload....just google poot for root.apk
Elewa tumefikia wapi sio kudakiaBro acha uongo idad ya sim nilizoroot bila ku unlock bootloader ni kubwa sana ujue
Ni MTKHuawei Y360 ina MTK CPU hiyo Y3II sina uhakika KM NI MTK AMA Qualcom
Unaweza ukaweka custom rom bila ku unlock boatloaderBro acha uongo idad ya sim nilizoroot bila ku unlock bootloader ni kubwa sana ujue