Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 49
- 65
Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa chumba kimoja Bali inafungwa kwa kila chumba au kwa kugawa makundi ya vyumba.... ukihitaji nikufungie nitakuja nayo nitakufungia na kukupa Elimu namna ya kuitumia. Matumizi ya mifumo nitakayo kufundisha Inahitaji Nidhamu sana. Na kanuni..... gharama zangu huwa zinajali huduma ninayokupa. Kumbuka mifumo ya submita hizi unatakiwa uwe na smartphone. Au laptop. Na ikitokea una changamoto ya submita ambayo sijaifunga mimi, nitakulipishq shilingi 20000 kwa kila submita. Ila tatizo litakuwa limekweisha. Kwa mahitaji ya submita hizi wasiliana 0757 838927