Subiri tuone tunakoelekea uchaguzi huu

Subiri tuone tunakoelekea uchaguzi huu

Uchaguzi huu utasababisha mambo mengi sana, baadhi ni pamoja na:

1. Watanganyika watadai taifa lao, na hawatataka tena kuja kutawaliwa na mzanzibari.

2. Serikali itakayoundwa itakuwa ndiye adui mkuu ambaye wananchi watalazimika kupambana naye.

3. Adui wa pili ambaye watanganyika watapambana naye ni kundi la wanamtandao linaloongozwa na familua ya mzoga.
 
Viongozi wa dini( zote hasa kubwa) wakiamua , uchaguzi utasogezwa mbele, KATIBA mpya + mfumo bora wa Uchaguzi utakuwepo...hawajafahamu tu NGUVU kubwa walionayo
 
Back
Top Bottom