Halafu wagawa baiskeli wanachangiwa Hela za Kampeni!Watu wanafurahia mabaiskeli tu 😡😡😡
Uchaguzi utafanyika kwa salama kabisa ila shida ni Makovu baada ya UchaguziKila nikiwaza aina ya uchaguzi wa mwaka huu, sielewi kabisa.
Asante kwa taarifa.Hadi tunafikia uchaguzi kuna maneno yatakuwa yamesemwa, mipango kufanyika na tutaona mengi.
Za ndani kabisa wanaosukumwa na utaifa, wana ajenda kali na ngumu.
Mimi nasema, Mungu tupe uzima tushuhudie yote yatakayotokea.
Wewe umelewa siku ya sabato?Uchaguzi utafanyika kwa salama kabisa ila shida ni Makovu baada ya Uchaguzi
Makovu yatakuwa mioyoni na hayo ndio mabaya zaidiWewe umelewa siku ya sabato?
Unasema uchaguzi utafanyika kwa salama halafu hapo hapo unasema kutakuwa na makovu.... Sasa usalama unaoleta makovu ni usalama gani huo?
Kuheshimiana kunatokea soon.Kila nikiwaza aina ya uchaguzi wa mwaka huu, sielewi kabisa.
Aisee!!Makovu yatakuwa mioyoni na hayo ndio mabaya zaidi
We unataka wafurahie nini?Watu wanafurahia mabaiskeli tu 😡😡😡
Bora huyu anawasaidia watanzania kuliko yule ambaye alikua anafaidi peke yake,akiombwa anawaambia wafanye kazi!Halafu wagawa baiskeli wanachangiwa Hela za Kampeni!
Kwa kweli,Mungu akatende kama alivyokusudia.Hadi tunafikia uchaguzi kuna maneno yatakuwa yamesemwa, mipango kufanyika na tutaona mengi.
Za ndani kabisa wanaosukumwa na utaifa, wana ajenda kali na ngumu.
Mimi nasema, Mungu tupe uzima tushuhudie yote yatakayotokea.
Amina!Meli ni kubwa sana na ina uzito wa kutosha kuhimili mawimbi ya bahari yoyote ile. Unaowaona wamekaa mbele ni wabeba lawama tu, lakini maamuzi ni ya pamoja ya kitaasisi.
Hujui taasisi inampangia hata muda wa kulala na watu wa kukutana naye? Ukitaka kupima, jaa kwenye mfumo na vikoti vyako vya mitumba na uchungaji miksa ushirikina
Wapi nimekwambia nataka wafurahie?We unataka wafurahie nini?