Subaru..

Mkuu wateja wanauliza bei za bidhaa haujibu ndio maana wengine wanasema acha usanii
 
Kwa mazingira ya dar vitu ambavyo vinasumbua sana ni shockups,bearings, balljoints kwa jumla ni system za chini ya gari je ww unazo?
 
Kwa mazingira ya dar vitu ambavyo vinasumbua sana ni shockups,bearings, balljoints kwa jumla ni system za chini ya gari je ww unazo?

Ninazo zote
 
Weka namba ya cm nikucheck weekend. Forester na forester sti zinafanana.
 
Weka namba ya cm nikucheck weekend. Forester na forester sti zinafanana.

Zinafanana bt forester sti inaperformance kubwa so spare zinatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…