mbona vyote hapo vinaingiliana na Toyota?
sema ndio hivyo wengi huwa mnapigwa kwenye majina ya magari lkn kibongo bongo ukiwa akili NYINGI hupati tabu kama unaweza ww vifungue shika mkononi then nenda madukani katafute utauziwa bei poa.lkn ukijipendeke kulopoka kuwa sijui ya Subaru imekula kwako
Mkuu hebu cheki nasikia facebook wana group ya Subaru!!!!
Owners na fans, waweza pata mawili matatu!!
au kama yupo dar anaweza kwenda kinondoni pale viwanja VYA biafla kuna club ya Subaru na FUNDI WA Subaru nae yupo palepale
Wakubwa, naomba kufahamishwa bei za
1.oil filter
2.air filter
3.fuel filter
za SUBARU IMPREZZA na FORESTER STI.....na duka maarufu hapa DAR wanapouza genuine subaru parts.
cc: CYBERTEQ MANI OLESAIDIMU Kaizer
salaam mkuu, mtafute dhk1 anauza spare za subaru. kama unataka fundi nenda hapo kwenye club ya jamaa wa subaru mtafute Andrew (anapatikana 0-60 Subaru Garage), kama ni gari ya perfomance huyohuyo atakusaidia, au mtafute mjerumani mmoja anaitwa Heiko ndiyo mwisho wa subaru.
ukikwama sema mkuu.
Msimbazi/Swahili street,kama unajua ilipo Diamond Trust Bank kama unatokea mataa ya morogoro road kuelekea round about ya uhuru upande huo huo wa bank jengo linalofuata pana duka linaitwa Hai Agency,jamaa wanapiga bei but hukosi kitu pale.
Thomas0n