Wala sikushauri kununua hiyo gari mimi niliagiza Dubai kwa dola 5000 hadi linafika bongo lakini nilikuja kuliuza ka bei ya hasara sana kutokana lilivyonifanya,kwanza linakula wese balaa na hizi foleni ndio usiseme,na spea hadi uende Mombasa au Nairobi uamuzi ni wako lakini kwa speed tu ni noma kwa sababu mashine yake ina nguvu sana