Ndugu wana JF, Wasalaam!
naomba kupata ushauri kuhusu kuagiza gari Japan ama kununua mkononi kwa mtu.
-SBT Japan
-TRADECAR VIEW
-YUASA
-JAPANESE CARS
Subaru Forester 4WD Forester - Turbo
Used car made from 2003 onwards
Mileage km not more than 100,000 kms
Aina za Subaru Forester ni
XT .......
XT XENON....
Cross Sports..
Tafadhali toa ushauri kuhusu bei ya soko kwa sasa na what is reliable place to buy.
The best, best place to buy is from www.beforward.jp. You wont regret. Their prices are unbelievable cheap and are vey reliable. I can vouch for them. Lakini ngumu kupata 2003 model and upward.
MT or ATNinayo ya mwaka 2005 crosssports, wine red colour, km 75000, ina week moja TZ. Pm if ur interested...
Ninayo ya mwaka 2005 crosssports, wine red colour, km 75000, ina week moja TZ. Pm if ur interested...
Nini Umetafuta umekosa?subaru F ni ugonjwa wa moyo spares zake ni mtihani utaipaki tu soon.
Tatizo la Trade Car view ni mlundikano wa dealers wengi ambao wengine si waaminifu, labda utumie njia yao ya malipo ambao inakugharimu zaidi, na si dealrs wote wanatumia njia hiyo. Unatakiwakuwa mwangalifu zaidi unapotumia traderviewbe forward wanauza cheap ila hawana magari mengi. Trade car view ndo penyewe. Kwa 2003 na kuendelea zipo mpaka usd 2700. Hadi 20000. Pata kama m14 ujitose yenye turbo. Ukiagiza kwa elfu 4 usd mpa ikafika hapa na kaushuru 12 hadi 14 ni lazima. Ni gari zuri ila parts gharama sana.
Tatizo la Trade Car view ni mlundikano wa dealers wengi ambao wengine si waaminifu, labda utumie njia yao ya malipo ambao inakugharimu zaidi, na si dealrs wote wanatumia njia hiyo. Unatakiwakuwa mwangalifu zaidi unapotumia traderview
hivi hawa befoward wana ofisi hapa TZ.... maana wao ndio naona bei zao zipo very cheap.... au authorized dealer wao..
Ndugu wana JF, Wasalaam!
naomba kupata ushauri kuhusu kuagiza gari Japan ama kununua mkononi kwa mtu.
-SBT Japan
-TRADECAR VIEW
-YUASA
-JAPANESE CARS
Subaru Forester 4WD Forester - Turbo
Used car made from 2003 onwards
Mileage km not more than 100,000 kms
Aina za Subaru Forester ni
XT .......
XT XENON....
Cross Sports..
Tafadhali toa ushauri kuhusu bei ya soko kwa sasa na what is reliable place to buy.
subaru F ni ugonjwa wa moyo spares zake ni mtihani utaipaki tu soon.
Nipo interested kama vp niambie inaenda kwa tshs ngapi...?
je imeshasajiliwa?
upo arusha sehem gani?
THANX..!
[/QUOTE
Bado haijasajiliwa. Bei 16m