SUBARU FORESTER KALIIIIII....Inauzwa

verry simple...ukitaka kujua gari imetembea km ngapi huwa tunafanya hivi...
Assume kila siku gari imetumika na imetembea km 20 x 365 days= 7300km kwa mwaka..then zidisha na tofauti ya mwaka gari ilotengenezwa na mwaka uliopo (2012-1997=15)= 7300km x 15yrs=109500km.

Kinyume cha hapo lazma iwe odometer ilitembea sana kwa gia ya reverse.

we acha kudanganya watu hesabu yenyewe ulipata F, kwa kuwa kucopy ndio jadi yako umecopy wrong angalizia tena! mie yangu nimenunua kwa mhindi ameitumia zaidi ya miaka 10 lakini iko vizuri tu sababu alikuwa anaitumia kwenda dukani kwake umbali wa mita 100 (urefu wa uwanja) toka nyumbani kwake.
 
verry simple...ukitaka kujua gari imetembea km ngapi huwa tunafanya hivi...
Assume kila siku gari imetumika na imetembea km 20 x 365 days= 7300km kwa mwaka..then zidisha na tofauti ya mwaka gari ilotengenezwa na mwaka uliopo (2012-1997=15)= 7300km x 15yrs=109500km.

Kinyume cha hapo lazma iwe odometer ilitembea sana kwa gia ya reverse.

Nimependa hesabu zako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom